Natafuta mume mtu mzima

Natafuta mume mtu mzima

Upo kistrategy sana binti maana kwa umri huo kama ukimpata umekula bingo utapata malipo yake ya pensheni plus mirathi maana hatakuwa na miaka mingi mbele lazima arudi mavumbini halafu utarudi Kutafuta wa umri wako sasa baada ya kumaliza eda
Wewe jamaa noma sana. Hizo huku uswahilini tunaita hesabu ndefu! Ni km zile alizopiga K LEE NI!
 
wewe umezaliwa mwaka 1992 halafu unasema una miaka 24. sema kweli una miaka 26
 
Vyuma vimekaza mnaanza kuwakimbilia wastaafu wenye Pensheni
 
Duh, 50-60 wewe ndo utamuumiza aisee. Maana libeneke haliwezi huyu. Ila kuzalisha anaweza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom