Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,158
- 482
Mie nina 65 karibu
Bro kesha sema anataka babu,so ww tulia kwanzaKama bado hujapata hitaji la moyo wako mimi nataka nikucomfort.
Nina miaka 37 nataka ue mke wa pili(mchepuko) nitakupa Haki zote sawa na mke mkubwa. Pm ipo wazi kwa ajili yako. Nakusubiri
Habari wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24.
Elimu yangu ni chuo kikuu
Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60
Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo
Kikubwa awe hana mke (walioachwa, waliofiwa mke au ambaye hajawai kuoa)
Kama una vigezo hapo juu karibu pm