Duuh!!! Ivuga naona hii salamu ya jumamosi hii. 😀😀Mambo bebi
Ukiona huna uwezo wa kumtenegeneza mwanaume ujue huna sifa ya kuolewa aisei.
Nipo mzima mshkaji wangu kama chuma
SawasawaUkiona huna uwezo wa kumtenegeneza mwanaume ujue huna sifa ya kuolewa aisei.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anajipendekeza kwa mademu wetu hapaKumbe unamjua mkuu Huyo inzi??
Sent by IPhone
Mdogo wangu mambo vipi???Kwan sisi masingo hamtuoni au dharau
Apiaa!!!!...Basi tuyajenge nikutengenezeTena nilivokuwa nakutamani kitambosema hujui tu.


bigmind nami nimepata wa kumtengenezaKwema kaka hali vipi.?Mdogo wangu mambo vipi???
No thank you. Natania tu..Subiri nikiweka tangazo ulete maombi yako
Njoo kwangu...ila usiwe umezaa.....huku mimi nina watoto wawili.....he he heeee!
Ningekuja kwako..tatizo umezaa..sitaki lawama za watoto wakamboNjoo kwangu...ila usiwe umezaa.....huku mimi nina watoto wawili.....he he heeee!
Wee njoo watoto wanakaa na mama yao
Wee njoo watoto wanakaa na mama yao


nimekumbuka waliozaa hawaachani
Thubutuu...! Sa hv si tungekua tumerudiana....em njoo PM tulijadili hili
Haya nisubiri nakujaThubutuu...! Sa hv si tungekua tumerudiana....em njoo PM tulijadili hili
Swafi tu, naona wanakutengaKwema kaka hali vipi.?