PoaMambo bebi
Sijambo sijui weye.Hujambo mrembo???
Haya ma-inzi haya wewe hujui yametukosea nini sisi???



Relief wewe

Haya nipitishiemo yoyote itakayokupendeza..Uipendayo...nakupitishia hapo kino.

Yaani unaniacha mimi unatuma malavidavi kwa hilo jinga kubwa??? Kwa kweli unaniskitisha sio siri
We hautafuti nijitolee huko wanako ita PMKila la kheri mwaya japo kwa ushauri tu ukiona mitandaoni hakuna mafanikio geukia na upande mungine.





Mimi mzima sana yna2 Sijui wewe
We mrembo.
DuuuhMambo bebi
Haha. Usijali nikipost tu nakutag uwe wa kwanza kuonaNakuona pale juu ulivyocheka hahahahaahaha.
Anyway, ukitaka kufungua huo uzi nishtue kwanza ili nkuwahi mimi kabla mabaharia hawajakuwahi
Namimi nitakuwa shahidi.Haha. Usijali nikipost tu nakutag uwe wa kwanza kuona
Mimi mzima..nafurahi kusikia u mzima relief.Mimi mzima sana yna2 Sijui wewe
Yaani unaniacha mimi unatuma malavidavi kwa hilo jinga kubwa??? Kwa kweli unaniskitisha sio siri




Nakujaa
Upande mwingine upi?Akatongoze huko mtaani?Kila la kheri mwaya japo kwa ushauri tu ukiona mitandaoni hakuna mafanikio geukia na upande mungine.