Natafuta mume jamani

Natafuta mume jamani

masauke

Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
20
Reaction score
0
Natafuta mwanaume anayehitaji mwanamke wa kuishi naye awe na sifa zifuatazo; ;;;awe mzaliwa wa mikoa ya kaskazini, hajawahi kuoa, umri -32-37,elimu, form. 6, mkristo (r.. c ).mwenye nidhamu.

ty
 
Toa namba yako tu, Wazee wa shughuli mbona ni wengi tu humu ndani.
Ukifanikiwa uje utupe mrejesho
 
Dah vgezo cna hapa elimu nmeptliza umri bado cjafka thehebu tatzo tuwasubri wazee wenyewe
 
umri huo wewe una miaka mingapi? halafu unataka mume kirahisi hivyo, du kweli ndoa za mitandaoni nouma.
 
Mikoa ya kaskazini ndio ipi? Mzunguko wa nini taja kabila unalotaka.
We mwenyewe sifa zako? Umri, elimu, dini nk
 
tobaaaaa .........
SAYANSIKIMU umepotelea wapi fursa hiziiii
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina sifa zote ila sitaki kuishi na mwanamke ... kila mtu aishi kwake.
Alaf we mbona hujasema sifa zako...
 
Legexa mashart. Utapata.
Nakushauri mashart weka yafuatayo.
1 umri miaka 18+
2. Jinsia .Mwanaume.
4. Elimu .ajue kusoma na kuandika.
5. Awe na akili timamu.

Mengine yote futa. Afu sasa weka sifa zako ili anae kutaka ajitathumini.

Mwisho
Mke wangu usi+mind nimecangia tu maana utaisoma hii comment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom