Natafuta mume jaman

Applicants tumekua wengi sana,
wacha nijichuje!!
 
Unajijua....na divyo ulivyo..sidhani kama unaweza kunishawishi otherwise!

Hongera sana Mentor, kwani yaonekana kuwa u mhafidhina wa mrengo wa kulia.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mume/ mke sio bidhaa.Nashauri indo kigezo cha elimu na "kumpenda Mungu". Kuna wanaume wengi hawana Digrii kama mimi lakini ni watu wazuri tu. Pia swala la imani ni la mtu mwenyewe...wangapi tunawaona kwenye nyumba za ibada lakini wanaishi maisha tofauti?......Ukiondoa kigezo cha elimu na "kumpenda Mungu" mimi pia nitatuma maombi....
 
Nitafute tafadhali

0657416150

 
makalio kumbe unayo....mhm
 

aliyekwambia mume mwema anapatikana jf ni nani?
 
Mimi napenda watoto kama nilivyojieleza na pia hutembelea vituo vya watoto yatima just to play with them because so that is where this name started.asante kwa wish yako.

Very interesting, I like this kind of woman here. Sisi wengine ni vile tu wazazi wetu walichelewa kupendana bwana ila otherwise ningekutafuta sister, maana tupo wengi sana ambao hatujapata wenza humu. But it's ok wishing you all the best.
 
Huna mtoto afu unajiita mama samwel sijakuelewa kiasi tupe jina lako halis pia weka mawasiliano ya cm ya kiganjan
 
Elimu sio issue dada, mfano mzuri mimi na babaBeata nimemzidi elimu, lakini tunapendana na nnamuheshimu! Mchagua jembe si mkulima.
 
Very interesting, I like this kind of woman here. Sisi wengine ni vile tu wazazi wetu walichelewa kupendana bwana ila otherwise ningekutafuta sister, maana tupo wengi sana ambao hatujapata wenza humu. But it's ok wishing you all the best.

ni PM umri wako halisi niko interested
 
Hello dear,
Nimependa wasifu wako na ukweli wako. Mimi niko interested. Uko dar?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…