una watoto wangapi mama?Habari..nami leo nimeamua kujitokeza jamvini kutafuta mume ambae atakua wangu wa maisha naamini nitampata kupitia jukwaa hili.Mimi ni binti mwenye miaka 28 muislam natafuta mume lakin awe na mtoto na awe tayar mtoto wake awe kama wakwangu tuishi kwa amani na upendo.Sina vigezo vingi sana ila umri ni kuanzia miaka 30-35 na awe tayar kupima afya na awe hajaoa ni pm kwa maelezo zaidi na kwa alie serious tu.Asanteni
Habari..nami leo nimeamua kujitokeza jamvini kutafuta mume ambae atakua wangu wa maisha naamini nitampata kupitia jukwaa hili.Mimi ni binti mwenye miaka 28 muislam natafuta mume lakin awe na mtoto na awe tayar mtoto wake awe kama wakwangu tuishi kwa amani na upendo.Sina vigezo vingi sana ila umri ni kuanzia miaka 30-35 na awe tayar kupima afya na awe hajaoa ni pm kwa maelezo zaidi na kwa alie serious tu.Asanteni
Hapo Katika Lazima Awe Na Mtoto Ndiyo Umeniachia UKAKASI Kwani Kuna Watu Humu Labda Tuna SIFA Zote Hizo Isipokuwa Tu Tumebobea Mno KUPUNYETIKA Hivyo Bado Hatujaaliwa Kupata Watoto. Naomba Kifanyie Kazi Hicho KIPENGELE Dada!
Mkuu karibu hapa Nyakahura tupige mbili-tatu (kama huto-mind lakini)
https://www.ratebeer.com/beer/impeke-sorghum-beer/66483/Mimi Ni Mtu Wa Pwani Mkuu Na Hiyo Kauli Yako Kuwa Nikaribie Unipige Mbili Tatu Imenipa UKAKASI. Hebu Nifafanulie Mkuu Nikuelewe Vizuri!
Mimi Ni Mtu Wa Pwani Mkuu Na Hiyo Kauli Yako Kuwa Nikaribie Unipige Mbili Tatu Imenipa UKAKASI. Hebu Nifafanulie Mkuu Nikuelewe Vizuri!
mmh jamani si wote mkuu... mambo mengi yanweza pelekea ugumba usihukumu bwana si vyema kufanya hivyo mkuuHuyu mgumba atakua au kizazi chake kimeharibika baada ya kutoa mimba nyingi.
Haya ni mawazo tu....najaribu kumsaidia atakae kuwa mume wake.mmh jamani si wote mkuu... mambo mengi yanweza pelekea ugumba usihukumu bwana si vyema kufanya hivyo mkuu
sawa mkuuHaya ni mawazo tu....najaribu kumsaidia atakae kuwa mume wake.
Umenichekesha sana mdau.Hapo Katika Lazima Awe Na Mtoto Ndiyo Umeniachia UKAKASI Kwani Kuna Watu Humu Labda Tuna SIFA Zote Hizo Isipokuwa Tu Tumebobea Mno KUPUNYETIKA Hivyo Bado Hatujaaliwa Kupata Watoto. Naomba Kifanyie Kazi Hicho KIPENGELE Dada!
Umenichekesha sana mdau.
salama za kwakomiss chagga
Habari yako