Natafuta mume aliye 'serious'

Natafuta mume aliye 'serious'

Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.

Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.

Kama uko interested ni Pm
Ni PM tuongee
 
tatizo
kama kupata kazi ni ishu.si bora nitafute mume?
tatizounataka v ya maana hatakazi utachelewa Kupata coz inaonyesha unataka zamaana wakati hela namatumizi niyaleyale aawemzibua choo awe meneja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom