Natafuta mume aliye 'serious'

Natafuta mume aliye 'serious'

lupala

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
10
Reaction score
10
Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.

Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.

Kama uko interested ni Pm
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo ,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni sms kwa namba 0717742522.

Mmh kwakweli sie wenye kazi zisizo za maana tulie
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni sms kwa namba 0717742522.

dada kama hufanyi kazi, nani anataka goli kipa? maisha magumu siku hizi ni kusaidiana, nakutakia kila la kheri ila kukushauri tafuta kwanza kazi, mume utampata huko huko
 
kama kupata kazi ni ishu.si bora nitafute mume?
 
Mwanamme aliye Seriou?????? Kwanini huyo mwanamme atokee seriou hautaki wana wa Katerero Bukoba?
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni sms kwa namba 0717742522.

Muonekano wako we humtaki huyo mume bali unaihitaji kazi yake zikowapi zile %50 kwa 50 nawe tafuta kazi kwanza kisha ndiyo huyo mume ni kitu gani kimekupeelekea usitafute kazi kwanza ? Kumbuka hata hao wanaume wa sasa wanataka mke mwenye kujishughulisha hamtaki mwanamke golikipa kama wewe kwa mwenendo huu sijui kama utafika
 
kama kupata kazi ni ishu.si bora nitafute mume?
siyo lazima upate kazi ya kuajiliwa......tafuta mahali ujitolee hata kama hawatakulipa chochote cha msingi wewe upate experience na CV yako ionyeshe atleast baada ya kumaliza chuo ulikuwa unafanya nini na wapi.......kuliko kukaa nyumbani tu na kusema kazi hakuna.........nenda kaombe hata za kujitolea mdada mwisho wa siku utafanikiwa kupata ya kudumu.
NOTE:
Mume wa kweli ni kazi.
 
Dadaangu hongera kwanza kwa kuwa na shahada moja japo hukusema nishahada ya nini..... Nikupongeze pia kwa kutumia jf kutafuta mume aliye thabiti.... Lakini najua mawazo yako ni mazuri sana japo wengi waliyotoa maoni yao kuhusu wazo lako.....
DADAANGU, mimi nataka nikusaidie kupata kazi kama upo tayari ili mume utakaye mpata muweze kuendana, kama unashahada ya elimu kazi ipo uwe mkufunzi wa chuo cha ualimu. Grade IIIA. Na diploma. Kama upo tayari ni sms kwa namba hii 0785931455 au nitumie barua pepe kwa anwani hii. emanuelbwire@gmail.com

ninania nzuri sana. Ubarikiwe
 
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm

mimi nina miaka 31 mtoto ninae mmoja dini mkristo kazi mwl shahada moja ukiona itafaa nitafute kwa no 0753082524
 
Huna kazi, unataka mwenye kazi. Watu wengine bana. Yaani pamoja na degree yako lakini bado fikra zako na mitazamo yako bado duni kabisa.
 
siyo lazima upate kazi ya kuajiliwa......tafuta mahali ujitolee hata kama hawatakulipa chochote cha msingi wewe upate experience na CV yako ionyeshe atleast baada ya kumaliza chuo ulikuwa unafanya nini na wapi.......kuliko kukaa nyumbani tu na kusema kazi hakuna.........nenda kaombe hata za kujitolea mdada mwisho wa siku utafanikiwa kupata ya kudumu.
NOTE:
Mume wa kweli ni kazi.

kwa mentality hii ndio maana ndoa hazikai. wacha tugegedane na kuachana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom