Mkuu pole kwa kuondokewa na mumeNatafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
kuzini upende tuAmesema yeye ni mkristo anayemuogopa mungu....umemuelewa hapo? Atalisongesha vipi kiugumu as single mother bila kuchepuka a.k.a kuzini??
kuzini upende tu
tendo la ndoa lina umhm au ni lzm?...Hivi kama alivyokuwa anashauriwa hapa kwamba aachane na habari ya kuolewa, na yeye kama binadamu anahitaji kufanya tendo la ndoa, sasa kama wanamshauri asiolewe utasemaje kuzini ni kupenda??
asanteMkuu pole kwa kuondokewa na mume
Wengi wanatakuja na matani kebehi na zaidi kukuvunja moyo
Timiza haja ya moyo wako
Umri si kigezo cha kukosa kuolewa tena
Watoto ni faraja yako isiwe kizuizi cha kutimiza haja ya moyo wako
Watakuja wengi tumia busara katika maamuzi yako
Wewe nafikiri hujui utamu wa dyudyu wewe!!Miaka 42 si bora tu ulee wanao maana hiyo miaka tena uanze kupata stress za mume jamani??
Akitaka muhogo wa jang'ombe anafanyaje kama anaweza kulea watoto wake?sitaki uzinzi/uasherati kama jibu hapa!Ushauri mzuri sana
Mawazo ya kujifariji.........mume wa nin bhana?single Maza poa tu tunalisongesha kigumu
Niko hapa! Naomba nambaNatafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Kwanza hongera kama kweli your honnest....karibuNatafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.