Nakuhakikishia sitompa stress,mniombee.Miaka 42 si bora tu ulee wanao maana hiyo miaka tena uanze kupata stress za mume jamani??
Baraka zangu unazo fanya kumfata pm myajenge sasaNakuhakikishia sitompa stress,mniombee.
Ushauri mzuri sanaMiaka 42 si bora tu ulee wanao maana hiyo miaka tena uanze kupata stress za mume jamani??
maombi gani tena kwan ww baba mch illovoNi pm kwa maombi zaidi

Nina upako.. Au waona wivu bibieemaombi gani tena kwan ww baba mch illovo![]()
Nyie mtanaka raha za mwili afanye na nan? Dildo au ?Ushauri mzuri sana
Miaka 42 si bora tu ulee wanao maana hiyo miaka tena uanze kupata stress za mume jamani??
Miaka 42 si bora tu ulee wanao maana hiyo miaka tena uanze kupata stress za mume jamani??
una watoto wangapi ? unaishi wapi ? unapendelea mwenzi wa aina gani ? funguka bi mkubwa !! au ni PMNatafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.