We nae vipi? Kesharekebisha hapo juu we bado unae tuuu?hehee mitumba
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mwajiriwa katika sekta ya umma natafuta mwenza wa kuishi nae kuanzia miaka 18-35 aliyetayari anipim sibagui dini wala kabira anaomba aliyesirious tuwasiliane