Natafuta mtu wa usafi Magomeni, Dar es Salaam

Natafuta mtu wa usafi Magomeni, Dar es Salaam

Jof3

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
663
Reaction score
324
Habari zenu wana JF, natafuta mtu wa usafi kama kufua nguo, kusafisha nyumba kila weekend. Anakuja na kurudi . Sehem ni Daressalaam magomen mwembechai. NiPM kwa maelewano ya malipo
 
Salama, mimi ninakampuni yangu ninatoa huduma ya usafi maofisi na majumbani, njoo tuongee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom