Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 310
Mkuu eleza ni vipi unahitaji mtu wa marketing akusaidieHabari wakuu
Mimi ni designer wa UI&UX za mobile Apps...sasa kuna mambo mawili ambayo yamefanya nije jukwaani kutafuta mtu wa marketing.
1) Wanunuzi wa designs zangu.
Kama ambavyo producer huwa anatengeneza beat kisha msanii akiskiliza akapenda akamuuzia beat hiyo au kuingia studio kurekodi. Vivyo hivyo nami pia kila nikipata ideas mbalimbali (za Application) huwa nazitengenezea UI&UX na kisha clickable-prototype zake kwa ujumla.
NB:
Lakini pia naweza kukutengenezea design ya idea yako yoyote ili upate picha ya muonekano na utendaji kazi wa Application yako kabla haijatengenezwa(developed/programmed) kitu ambacho kitakusaidia vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na kujua APP yako itakuwa na functionalities nyingi/chache kiasi gani? ambacho ndo kitu kikubwa kinachoamua bei ya matengenezo ya App yako iwe juu,kati au chini. Pasipo kujua hili mapema unaweza jikuta unapigwa.
2) Wawekezaji/wadhamini
Sio kila design ninayotengeneza nataka kuiuza nyingine nataka kuifanyia kazi iwe mali yangu kwa asilimia kadhaa na asilimia nyingine achukue mwekezaji.
Hitimisho;
Kwahiyo kutokana na hizo sababu kuu mbili nahitaji sana fundi wa marketing, maana nimejaribu kufanya mwenyewe,....ndipo nikagundua kila mtu ana kitu chake....mimi nipo vizuri kwenye kudesign Apps lakini likija suala la marketing hamna kituu.
Kwahiyo kama wewe unajua ni aina ya mtu ninayemtafuta tafadhali usisite kuja PM tuyajenge.
"Dare to do"
Mkuu nimerekebisha tayari...enhe nambie wewe ni moja ya mtu ninayemtafuta??Mkuu eleza ni vipi unahitaji mtu wa marketing akusaidie
Vipi mtalipana vipi?
Uko wapi na unayemuhitaji awe wapi ?
Je jinsia yoyote ? Je awe na maarifa kama yako au yeye ni issue ya marketing tu ya hicho ulichonacho?
Waeleze vizuri ili mtu ajue anakuja vipi ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kuiprogram mwenyewe sio??Unatanana na mimi nimefanya Ui Designing ya App yangu nimeandikia Business Model, Marketing Strategy na Monetization yake nilitaka niuze na nauhakika nikiamua kuiza Idea naweza ila plan yangu niipeleke Live sokoni mwenyewe Data zilizopo sokoni zinanivutia.
Ndio naisaka ya Developer nafikiri moaka mwakani inaweza kuwa LiveKwahiyo unataka kuiprogram mwenyewe sio??
Unajua programming language ipi?? Au una design UI pekee??Ndio naisaka ya Developer nafikiri moaka mwakani inaweza kuwa Live
Check PM tufanye Fasta Fasta mchongo ukiwa tiali
I don't codeUnajua programming language ipi?? Au una design UI pekee??
Sasa App yako utaipeleka live vipi? Au utamlipa mtu a programm kwa niaba yako.I don't code
Asante ndugu mimi siye .Mkuu nimerekebisha tayari...enhe nambie wewe ni moja ya mtu ninayemtafuta??
Bytheway nimependa user name yako.
Boss hujaelewa wapiSasa App yako utaipeleka live vipi? Au utamlipa mtu a programm kwa niaba yako.