Natafuta mtu wa kushirikiana naye ili kuwekeza kwenye kilimo

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari ya wakati huu wapendwa

Mimi ni kijana mtanzania ninaishi mkoa wa Morogoro.
Nilikuwa natafuta mtu wa kushirikiana naye ili kuwekeza kwenye kilimo.

Kama mjuavyo kilimo ni kipana sana na kinahusisha mambo mengi sana. Kama atatokea mtu amevutiwa na wazo langu anaweza kuja PM nikamueleza vizuri.

Kwa kujenga uaminifu njoo hata na mwanasheria haina shida ila vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
20220319_103445.jpg
 
Morogoro sehem gani .....
 
Back
Top Bottom