Natafuta mtu wa kushirikiana nae kufanya Documentary.

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,359
Reaction score
56,208
mimi muhitimu wa chuo kikuu nimeoa nina shughuli zangu nimeweza kushawishi taasisi fulani kuhusu documentary film fulani nimeshagharamia zaidi ya milioni tatu kama uko inerested njoo wekeza m 1.5 upate m1.5 kama faida ndani ya miezi miwili tutashirikiana wote mwanzo mpaka mwisho na taratibu zote za kisheria kufuatwa
 
weka number yako ya simu basi mkuu, tuchonge in details
 
mimi muhitimu wa chuo kikuu nimeoa nina shughuli zangu nimeweza kushawishi taasisi fulani kuhusu documentary film fulani nimeshagharamia zaidi ya milioni tatu kama uko inerested njoo wekeza m 1.5 upate m1.5 kama faida ndani ya miezi miwili tutashirikiana wote mwanzo mpaka mwisho na taratibu zote za kisheria kufuatwa
Kushirikiana kwenye nini tena ..., wewe unahitaji mtu wa kutoa cash peke yake ili baada ya miezi miwili umpe 3m au unataka mtu wa kutoa hio cash as well as kuhusika kwenye mambo mengine pindi yakihitajika ?
 
elezeaaa vizuriiiiiiiii tuelewee wote mkaka
 
Kushirikiana kwenye nini tena ..., wewe unahitaji mtu wa kutoa cash peke yake ili baada ya miezi miwili umpe 3m au unataka mtu wa kutoa hio cash as well as kuhusika kwenye mambo mengine pindi yakihitajika ?
akipenda tuendelee sawa kama yuko interested ningeshukuru tutashirikiana mambo mengi tu kwa kiasi hicho kazi itakamilika naweza kuipata ila inaweza kuchelewa ikawa off timing ni pm au nitumie sms muda wowote kwenye namba 0656868068 kupiga simu ni muda wa kazi tu
 
Back
Top Bottom