Natafuta mtu wa kunitengenezea inventory management system

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,366
Reaction score
1,638
Hello developers

Ataka mtu wa kutengeneza IMS ya products.

Kigezo ni kunionyesha kazi zako au demo.

Malipo ni maelewano (ila bajeti yangu ni laki mbili mpaka 1M). Kwaiyo inategemea na kazi yako

Mawasiliana DM

My features list.
Dashboard
All( profit and loss, expenses,sale, income .............)
Invoives
Package
Shipped packages
Delivery package
Sales
Sales returns
All sales
Products & servives
Customera

Expensive
Vendors
Bills
Suppliers
Employeea
Reports
Taxes
Account

Sina uwezo wa kutoa kwa mambo yote nimeandika hapo ila tu nawezakusema hayo ni mambo nataka yawepo kwenge sofware yangu.

My features utakuwq umeelewa nataka nini ila Nakaribisha mawazo yako pia.

Asante
 
Hii sio requirement ya Inventory. Hii ni ERP
Na hapo kuna Accounting, Inventory na Payroll kwa haraka haraka nikiangalia.

Kwa hiyo pesa hakuna anayeweza kukutengenezea. Unless awe anafanya customizations ya existing ERP
 
Sawa mkuu nimekuelewa. Mimi ndo bugdet yangu hiyo
 
Biashara zangi binafsi
Kama ni hivyo unajipa mzigo wa bure. Akiisha kukutengenezea umeshawaza
1. Nani atashughulikia na mambo ya maitainance ya Server (kulipia, updates/upgrades et al)
2. Kukitokea tatizo nani atatatua (kumbuka amelipwa kutengeneza tu na kamaliza)
3. Ukihitaji kitu kipya na mtengenezaji ukashindwa kumpata (inatokea sana) au mtengenezaji yuko bize na project nyingine utafanyaje?

Ukijumlisha hizi gharama zote na usumbufu wake huoni kuwa utakuwa unalipa pesa nyingi sana?
 
Najua mkuu, ikiwa nahitaji kitu kpya kiongezeke au kupunguza, hiii nitalipia, si lazima mtu yule yule, alafu platfrom zote kuendesha lazima gharama ziwepo,mimi nataka mfumo wangu binafsi ili niendeshe ninavyotaka.
 
Ni maamuzi yako, ni pesa zako. Ila ningelikuwa mimi ninge outsource hayo mambo yote ili nibakie kusimamia core business badala ya kuhangaika na mambo ambayo siyo core kwangu, yakinipotezea wakati na fedha.

Lakini ni biahsara yako, na ni maamuzi yako boss!
Kila la heri!
 
Hii sio requirement ya Inventory. Hii ni ERP
Na hapo kuna Accounting, Inventory na Payroll kwa haraka haraka nikiangalia.

Kwa hiyo pesa hakuna anayeweza kukutengenezea. Unless awe anafanya customizations ya existing ERP
Customization ni kazi ngumu kuliko kuanza upya, labda kama uliitengeneza mwenyewe. Nishajaribu kufanya customization ni pasua kichwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom