Natafuta mtu wa kunisaidia ili

Natafuta mtu wa kunisaidia ili

pockert money

Member
Joined
Mar 12, 2022
Posts
22
Reaction score
65
Naomba msaada mtu yeyote ani inbox awe ananisaidia mambo mbali mbali, nipo busy kujaribu Ku apply kazi katika matangazo mbali mbali lakini nakutana na changamoto za Ku apply mtandaoni,hadi deadline inafika bado naangaika sifanikiwi.karibuni.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Na Kazi ukiipta utatafuta wa kukusaidia. Kufanikiwa ku appy Kazi wwwe mwenyewe ni Moja ya interview.. Sema watu wakielekeze uweze uapply wwwe mwenyewe. Na eleza changamoto Zako hpa ni rahis kusaidiwa. Inbox si wote ni wadau wa huko. Be open and flexible, usijisikie vibya kueleza wapi unakwama
 
ili = hili
Samahani huo ndio msaada wangu.
 
Back
Top Bottom