SUZANE
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 740
- 500
Nawasalimuni mabest zangu na mie!!
Nimewamisijeeeee!! Waoooo......
Haya sasa, Leo mimekuja na langu la moyoni,
Nahitaji director/ nahitaji mtu atakae niongoza na kunioshesha njia ya sanaa ya uigizaji kwa ujumla, nimekua muigizaji tangu 1997 mpk Leo, cha ajabu cjawahi kutoka kivyovyote vile, cjui nimelogwa mieeee.
Ninajua sasa wakati umefika wa mimi kutoka, Naomba niunganishe na mtu mmoja anisaidie kunipeleka kwenye hatima yangu.
Asanteni sana.
Mbarikiwe