Natafuta mtu wa kunifundisha computer science hivi vitu

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Jamani natafuta mtaalaamu wa computer science ambaye anaweza kunifundisha
1.java na c++ programming na kutengeneza application zake
2.configuring cisco routers and switch
3.web programming
4.cyber forensic
5.computer maintanance and repair

anitajie bei za topics hizi
 
Nenda UCC kaulize Abdallah atakufundisha vitu vingi hapo juu..kwa mapatano nje ya ofisi ila naona kama utachanganyikiwa maana hizo course ndefu sana zaidi 3yrs kumaliza zote!!sijui utamudu vipi at a time
 
Mimi nasoma chuo nipo mwaka wa pili bacheleor degree hivi vyote nimesoma ila tumefundishwa juuu nimeelewa kidogo maana chuo chetu theory nyingi sana
 
Nipo nafanya bachelor degree in computer science from st.joseph college of engineering
 
Kama una internet ya uhakika huna haja ya kutafuta mwalimu, tutorials kibao ndani ya youtube
 
Jamani natafuta mtaalaamu wa computer science ambaye anaweza kunifundisha
1.java na c++ programming na kutengeneza application zake
2.configuring cisco routers and switch
3.web programming
4.cyber forensic
5.computer maintanance and repair

anitajie bei za topics hizi

Wacha utani huwezi kusoma mtaani web programming na C++ programming kozi ni za muda mrefu na zinahitaji kichwa kilichotulia ndugu vinginevyo hutakuwa expert, kama ni web designing and hosting na computer maintanance and repair tafuta mtu utaweza na zitakusaidia sana binafsi na kiajira. Programming kwa nchi yetu sio deal bado.
 
dogo wewe ni mtata sana na post zako mara unasoma diploma/unafanya kazi kampuni ya simu/ unaomba ushauriwe chuo cha kusoma etc na leo unasoma degree 2nd yr.!
kaa chini kwanza ufikirie unataka kufanya kipi kati ya hayo halafu chagua kimoja c'se hapo naona degree 3 tofauti
 
Jamani natafuta mtaalaamu wa computer science ambaye anaweza kunifundisha
1.java na c++ programming na kutengeneza application zake
2.configuring cisco routers and switch
3.web programming
4.cyber forensic
5.computer maintanance and repair

anitajie bei za topics hizi

Naona unataka uwe mpelelezi au mwizi mzuri kwenye computer za watu maana cyber forensic ukichanganya na repair and maintanance siri zote za office au mtu kwenye computer yake unazinyaka hata kama ana password ya maneno mia tatu.
 
Kuhusu tutorial za internet sawa ntatumia ......ila kama ila mi nimependa tuu kufahamu hivyo vitu kuhusu nasoma au nafanya kazi hili ni suala lako kujua mimi nataka
kujua kama wewe ni mtaalamu na upo nondo we niambie mie ntakulipa pesa kama huwezi basiiiii....
 
dogo wewe ni mtata sana na post zako mara unasoma diploma/unafanya kazi kampuni ya simu/ unaomba ushauriwe chuo cha kusoma etc na leo unasoma degree 2nd yr.!
kaa chini kwanza ufikirie unataka kufanya kipi kati ya hayo halafu chagua kimoja c'se hapo naona degree 3 tofauti

Kumbe na wewe umemsoma katika post zake zilizopita eeh!!!Dogo jipange tena uje na moja la maana usaidiwe.
 
Kaka mi ningekushauri ununue dvd ambazo zinaweza kukufundisha kwan ukitaka m2 wa kukufundisha ni gharama mno,ila kama uko tayari kwa gharama andaa 5,500,000/= kwa kufundishwa program zote 5.but at the same time unaweza pata dvd zote kwa 200,000.Nakuambia hv nkiwa mzoefu ingawa n mwanafunz,
for more inf
Nko st joseph col of eng and tech nachukua Comp scienc and engnering(B.E CSE)
 
mbona na mleta mada na yeye yupo st joseph au ujasoma vzuri...
 
Kaka mi ningekushauri ununue dvd ambazo zinaweza kukufundisha kwan ukitaka m2 wa kukufundisha ni gharama mno,ila kama uko tayari kwa gharama andaa 5,500,000/= kwa kufundishwa program zote 5.but at the same time unaweza pata dvd zote kwa 200,000.Nakuambia hv nkiwa mzoefu ingawa n mwanafunz,
for more inf
Nko st joseph col of eng and tech nachukua Comp scienc and engnering(B.E CSE)

dah, afadhal umekimbia ccm maana ungeendelea kubaki huko wangekunyonya damu mwe!
 
Back
Top Bottom