Tatizo kubwa ni gharama za vifaa vya maabara, kemikali na ofisi. Ingekuwa enzi za Kikwete, ningeiba baadhi ya vifaa kutoka shule hata 5 za kata na kemikali ingetosha kwa kuanzia ila kwa sasa - majangaHusikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta mtu wa kufungua nae maabara kwa ajiri ya tution ya vijana wa secondary ngazi zote, sifa ya mtu huyo awe ni mwalim mwenye ujuzi na issue hizo, au mtu yoyote atakae kuwa na uelewa na issue hizo, location ya maabara tutajadili nae kulingana na demand ya soko, pia sijafanya usajiri wa aina yoyote hivyo biashara tutasajiri pamoja.
Vifaa vyote nimeshanunua glassware na vingine vyote hapo issue ni office na expert wa kuendeshaTatizo kubwa ni gharama za vifaa vya maabara, kemikali na ofisi. Ingekuwa enzi za Kikwete, ningeiba baadhi ya vifaa kutoka shule hata 5 za kata na kemikali ingetosha kwa kuanzia ila kwa sasa - majanga
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta mtu wa kufungua nae maabara kwa ajiri ya tution ya vijana wa secondary ngazi zote, sifa ya mtu huyo awe ni mwalim mwenye ujuzi na issue hizo, au mtu yoyote atakae kuwa na uelewa na issue hizo, location ya maabara tutajadili nae kulingana na demand ya soko, pia sijafanya usajiri wa aina yoyote hivyo biashara tutasajiri pamoja.
Taja mshahara tujitokezeHusikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta mtu wa kufungua nae maabara kwa ajiri ya tution ya vijana wa secondary ngazi zote, sifa ya mtu huyo awe ni mwalim mwenye ujuzi na issue hizo, au mtu yoyote atakae kuwa na uelewa na issue hizo, location ya maabara tutajadili nae kulingana na demand ya soko, pia sijafanya usajiri wa aina yoyote hivyo biashara tutasajiri pamoja.
Mkuu una nyota ya Utumwa.....mleta mada kasema "ubia" wa kibiashara wewe unataka mshahara! Sijuhi nani katuroga watanzania...kwa sauti ya MAgu!Taja mshahara tujitokeze
Mimi najua kuandaa zote CHEM: Chemical reactions, Volumetric Analysis, Qualitative AnalysisVifaa vyote nimeshanunua glassware na vingine vyote hapo issue ni office na expert wa kuendesha
Njoo in box mkuu tujadiriMimi najua kuandaa zote CHEM: Chemical reactions, Volumetric Analysis, Qualitative Analysis
PHY: Heat, Electric Current, Gravitational Force ( Pendulum Bob ) n.k
BIOS: Food Test, Osmosis & Diffusion, Movement nk
- Ila ndo kwanza nimetoka nimetoka chuo, sina hata 100 zaidi ya kuwa na utaalamu tu
- Kama utataka kuanza naweza kukupa kampani kwa muda,