Wanu
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 353
- 223
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta mtu wa kufungua nae maabara kwa ajiri ya tution ya vijana wa secondary ngazi zote, sifa ya mtu huyo awe ni mwalim mwenye ujuzi na issue hizo, au mtu yoyote atakae kuwa na uelewa na issue hizo, location ya maabara tutajadili nae kulingana na demand ya soko, pia sijafanya usajiri wa aina yoyote hivyo biashara tutasajiri pamoja.