Natafuta mtu wa ku-share naye biashara

Limbula

Member
Feb 23, 2016
5
1
Mimi ni kijana, naishi Dar,nina digrii nataka kuanzisha biashara ya vitafunwa vya asili yaan mihogo, magimbi, viazi, ndizi n.k vya kuchemsha tu.
Tatizo ni mtaji wa kuanzisha biashara.

Natafuta mtu wa ku share naye ili biashara ifanyike. Naamini kupitia jukwaa hili atapatkana hata ushauri ni ntaupokea pia
 
UKO WAPI SASA UNASHARE VIPI WAKATI HATA MTAJI HUNA ? HEBU ELEZEA SAWASAWA HUYU MTU UNAYETAKA KUSHARE NAYE ANATOA MTAJI VIFAA NA KILA KITU SIO?
 
Back
Top Bottom