Natafuta mtu kufanya kazi saloon ya kiume

WINCH

Member
May 3, 2016
71
23
Habari za leo wakuu.
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu.
Natafuta kijana wa kufanya kazi saloon ya kiume awe mkazi wa Dar.

Mahala ilipo: Kati ya Tabata Kimanga Na Mawenzi

Kama yupo anicheck PM.

Siku njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom