Natafuta Mtu Anitengenezee Application

Natafuta Mtu Anitengenezee Application

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,444
Hello Guys Kama Kuna Mtu Yupo Ni Mtaalamu wa Apps za Simu Android na Ios. Naomba Anipm

Nataka kama Ikiwezekana Anitengenezee Apps Nzuri kwa Ajili ya Biashara ya Bidhaa .. Apps Kma Vile Ebay.. Jumia.. Aliexpress
 
Lete kazi hiyo, hapa umefika.
 
Hii kitu inawezekana, nitaweka hapa ili na mwingine ambaye atahitaji asome, ninafanya hiii kazi kuanzia Tshs. 8M per platform, itategemea na features za app lakini basic inakua na:
- Products with their own categories and super categories
- User profiles, payment using m-pesa, tigo-pesa, pay upon receiving the product.
- Realtime analytics mfano nini kimeuzwa leo, jana, last week, una customers wangapi, nani yupo online kwa sasa, product ipi inauza sana e.t.c.
- Customer ratings and reviews ya each product.

Custom features nyingine pia ukitaka kuongezea mfano Live Chat with customer care, realtime inventory, realtime delivery monitoring mfano inaonyesha mzigo kama umetumwa, uko wapi au estimate utafika muda gani.

Kwa ambaye yupo curious kama nina experience na hii kazi, nilishawahi fanya kazi hapa http://global.gmarket.co.kr ni one of the biggest shopping networks in Asia. Waweza pia kunicheki pm kama unahitaji demo ya internal apps ambazo nimetengeneza. Sifanyi kazi mimi kama mimi, nafanya kazi kama kampuni ambayo iko registered na ina wafanyakazi na ofisi Tanzania.
 
Realtime analytics mfano nini kimeuzwa leo, jana, last week, una customers wangapi, nani yupo online kwa sasa, product ipi inauza sana e.t.c.
- Customer ratings and reviews ya each product.

Custom features nyingine pia ukitaka kuongezea mfano Live Chat with customer care, realtime inventory, realtime delivery monitoring mfano inaonyesha mzigo kama umetumwa, uko wapi au estimate utafika muda gani.

Kwa ambaye yupo curious kama nina experience na hii kazi, nilishawahi fanya kazi hapa http://global.gmarket.co.kr ni one of the biggest shopping networks in Asia. Waweza pia kunicheki pm kama unahitaji demo ya internal apps ambazo nimetengeneza. Sifanyi kazi mimi kama mimi, nafanya kazi kama kampuni ambayo iko registered na ina wafanyakazi na ofisi Tanzania.
Unafanya Kwa Millioni 8???
 
Unafanya Kwa Millioni 8???

Siyo kwa Tshs. 8 Million, kuanzia Tshs. 8 Million, inaweza kupanda kulingana na functions. Unless mtu anahitaji less than basic features.
 
Daaah ok....
 
Hello Guys Kama Kuna Mtu Yupo Ni Mtaalamu wa Apps za Simu Android na Ios. Naomba Anipm

Nataka kama Ikiwezekana Anitengenezee Apps Nzuri kwa Ajili ya Biashara ya Bidhaa .. Apps Kma Vile Ebay.. Jumia.. Aliexpress
0752353881
0625582109
Nitafute Kwa namba Moja kati ya hizo Na tufanye kazi.
 
Anahitaji 'MTU'! Hayo maelezo kwa fundi...
umeona pricetag ya Graph ? mtu anaetengeneza app from scratch tegemea mamilioni ya hela atakutajia hasa kitu kikubwa kama hicho, hawa unaoona wanatengeneza app kwa hela ndogo siku zote wanatumia vitu kama nilivyovitaja hapo juu, ndio maana nikatoa alternative anaweza fanya mwenyewe. nikipata muda nitaeka tutorials ya njia mbali mbali za kutengeneza app bila kucode kwa kutumia tools mbali mbali.
 
Sikujua Kama Ni Gharama kiasi Hicho cha Graph hapo Sijaanza Kuuza Bidhaaa Zangu maana Ukiwapa nafasi Watu wauze Kama Kupatana utapeli Tu...
 
Mkuu naona bei yangu imekukimbiza, usikate tamaa lakini, nadhani kuna developers bongo wanaoweza kukufanyia kwenye laki kadhaa, mimi nimetaja kutokana na experience yangu I think I am worth at least that much kulingana na quality ya kazi ninayofanya, ninafanya professional work ambayo quality yake ni acceptable dunia nzima. Kama unategemea shop moja tu ya kuuza kwa wateja tusema less than 1000 kwa siku unaweza pata watu wakakusaidia kwa bei chini, wasikilizie watakuja kukutafuta.
 
umeona pricetag ya Graph ? mtu anaetengeneza app from scratch tegemea mamilioni ya hela atakutajia hasa kitu kikubwa kama hicho, hawa unaoona wanatengeneza app kwa hela ndogo siku zote wanatumia vitu kama nilivyovitaja hapo juu, ndio maana nikatoa alternative anaweza fanya mwenyewe. nikipata muda nitaeka tutorials ya njia mbali mbali za kutengeneza app bila kucode kwa kutumia tools mbali mbali.
unawezekana kutumia hizo tools kutengeneza app itakayo badilisha taarifa ya website kuwa csv kisha Ku analyse data kwa spreadsheet itakayokuwa embedded kwenye hiyo app?
nitangulize samahani kama nitakuwa nje ya mada.
 
Unafanya Kwa Millioni 8???
Mkuu ulijua inatengenezwa kwa elfu kumi? Ndio ujue ipo kazi....sio unaona google play then unai download free tu...behind the scene kuna watu wametoa pesa za kutosha mpaka ikasimama!!!
 
umeona pricetag ya Graph ? mtu anaetengeneza app from scratch tegemea mamilioni ya hela atakutajia hasa kitu kikubwa kama hicho, hawa unaoona wanatengeneza app kwa hela ndogo siku zote wanatumia vitu kama nilivyovitaja hapo juu, ndio maana nikatoa alternative anaweza fanya mwenyewe. nikipata muda nitaeka tutorials ya njia mbali mbali za kutengeneza app bila kucode kwa kutumia tools mbali mbali.
Ukileta huo izi naomba uni tag!
 
Hello Guys Kama Kuna Mtu Yupo Ni Mtaalamu wa Apps za Simu Android na Ios. Naomba Anipm

Nataka kama Ikiwezekana Anitengenezee Apps Nzuri kwa Ajili ya Biashara ya Bidhaa .. Apps Kma Vile Ebay.. Jumia.. Aliexpress
Mkuu nipo hapa tutakutengenezea chochote unatopenda iwe website, classic database, mifumo mbalimbali n.k piga 0687535650
 
Hii kitu inawezekana, nitaweka hapa ili na mwingine ambaye atahitaji asome, ninafanya hiii kazi kuanzia Tshs. 8M per platform, itategemea na features za app lakini basic inakua na:
- Products with their own categories and super categories
- User profiles, payment using m-pesa, tigo-pesa, pay upon receiving the product.
- Realtime analytics mfano nini kimeuzwa leo, jana, last week, una customers wangapi, nani yupo online kwa sasa, product ipi inauza sana e.t.c.
- Customer ratings and reviews ya each product.

Custom features nyingine pia ukitaka kuongezea mfano Live Chat with customer care, realtime inventory, realtime delivery monitoring mfano inaonyesha mzigo kama umetumwa, uko wapi au estimate utafika muda gani.

Kwa ambaye yupo curious kama nina experience na hii kazi, nilishawahi fanya kazi hapa http://global.gmarket.co.kr ni one of the biggest shopping networks in Asia. Waweza pia kunicheki pm kama unahitaji demo ya internal apps ambazo nimetengeneza. Sifanyi kazi mimi kama mimi, nafanya kazi kama kampuni ambayo iko registered na ina wafanyakazi na ofisi Tanzania.

Website please.
 
Back
Top Bottom