Natafuta Mtu Anitengenezee Application

Natafuta Mtu Anitengenezee Application

Mkuu Graph mimi nilikuwa natafuta sana mtu kama wewe! Kuna bonge moja la project nimecreatsize na hapa naanda capital ya ku run it. But the plan is to use app. Naomba ni pm namba zako tuongee kaka!
 
Mkuu ulijua inatengenezwa kwa elfu kumi? Ndio ujue ipo kazi....sio unaona google play then unai download free tu...behind the scene kuna watu wametoa pesa za kutosha mpaka ikasimama!!!
Sijasema Elfu Kumi... Wala Bei cheee Ila Sikufikiria Inaweza fika zaidi ya M8
 
Back
Top Bottom