Natafuta mtaalamu wa mambo ya website desgn in Dodoma

Natafuta mtaalamu wa mambo ya website desgn in Dodoma

mkuu lengo la kumtafuta ni lipi? Kuna nafasi ya kazi au unahitaji msaada?
 
Nataka kujifunza na kupata hii exposure. Elimu ya vyeti tayari ninayo na haijanisaidia, sasa natafuta experience
Na hiyo ela ya kwenda kulipia kwenye vyuo bora tuopozane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom