Natafuta mtaalamu wa MAC anisaidie kuintall windows

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Natafuta mtaalam wa computer, ninahitaji kuwekewa windows kwenye macbook pro pamoja na software inayoweza kuruhusu nitumia os's zote mbili. Ninaomba anipm ikiwezekana na gharama zake.
Thx

Wataalam changamkieni kazi
 
Ntajie model ya macbook yako..sio macbook zote zina archtecture inayo support Win OS.
 
ngoja aje huyu Young Master anaweza kukiusaidia hilo
Natafuta mtaalam wa computer, ninahitaji kuwekewa windows kwenye macbook pro pamoja na software inayoweza kuruhusu nitumia os's zote mbili. Ninaomba anipm ikiwezekana na gharama zake.
Thx

Wataalam changamkieni kazi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom