OPTIMISTIC
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 125
- 20
Natafuta mtaalam wa computer, ninahitaji kuwekewa windows kwenye macbook pro pamoja na software inayoweza kuruhusu nitumia os's zote mbili.
Ninaomba anipm ikiwezekana na gharama zake.
Thx
Wataalam changamkieni kazi
Ninaomba anipm ikiwezekana na gharama zake.
Thx
Wataalam changamkieni kazi