Natafuta mtaalamu wa kuandika Cv

Natafuta mtaalamu wa kuandika Cv

ha ha ha huyu atakuwa kamaliza chuo ametafta kazi na ametuma cv nyingi hajaitwa kokote sasa ameanza kuogopa na kuona hajui kuandika cv ata akigogle hata elewa na hata amin kuwa ni format nzuri acha aliwe ataacha baada ya kutuma hata hyo na bado asipata kazi apo ndo atakuja kuamin time and chance happen to them all.
Indeed
 
Back
Top Bottom