Natafuta Mtaalamu wa kuandika tenzi

Natamfuta mtaalamu wa kuandika tenzi ya kusifu….yenye changamoto ndani yake. Maelezo zaidi Dm
Tenzi za rohoni au?. Mana mm kwa njaa hii nachora mpaka mistari ya kigumu, taarabu mpaka rege. Unalipaje
 
Nitakuacha muacho wa kiungwana
Muachano wa kheri,si kugombana
Maneno na vitendo ulivyofanya
Viliumiza moyo, ukauchana.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom