Natafuta mtaalamu wa kuandika Cv

Natafuta mtaalamu wa kuandika Cv

+255718599898

Mcheki huyu mtaalamu.

Mkuu angalia na muda Tangu Aug,2017 inawezekana mtu unayemshauri leo Mungu alishampenda au alishapata/alishaachana na mambo ya Cv/anakadula kake kwa sasa.
 
Mkuu angalia na muda Tangu Aug,2017 inawezekana mtu unayemshauri leo Mungu alishampenda au alishapata/alishaachana na mambo ya Cv/anakadula kake kwa sasa.
Haaahaaaaa eti Mungu alishampenda...
 
Acha ubwwege hebu google uchague format unayoitaka.. yaani unataka kuliwa hela hivi hivi kijinga?
ha ha ha huyu atakuwa kamaliza chuo ametafta kazi na ametuma cv nyingi hajaitwa kokote sasa ameanza kuogopa na kuona hajui kuandika cv ata akigogle hata elewa na hata amin kuwa ni format nzuri acha aliwe ataacha baada ya kutuma hata hyo na bado asipata kazi apo ndo atakuja kuamin time and chance happen to them all.
 
Back
Top Bottom