Natafuta mtaalamu wa kilimo

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
916
Reaction score
933
Habari wanJF, ni kwel natafuta mtaalam wa kilimo nifanye nae kazi ya online, ataniandikia magonjwa yote ya mimea na solutions zake pamoja na madawa yake. Na uwe kwel mtaalam na sio magumashi, na uwe umesomea vyuo vinavyotambulika na serikal. Nitumie cv zako kwenye email hii info@nahitaji.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…