fakhbros
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 382
- 654
Habari zenu wadau
Nimefanya research katika maswaala ya uchumi hasa kwa wajasliamali wadogo nimegundua kuwa kama mjasiliamali jasir unaweza kuwekeza miatano kwenye Mkeka na ukaibuka na pesa kibao
Tatizo ambalo limenifanya kuja kwenu ni baada ya kujaribu Mara nyingi nakutoka kavu
Nimejaribu Mara nyingi lakini bila bila
Naomba kama kuna mtaalam wa fani hii ya kuchana mikeka basi tupeane uzoefu katika fani hii ya kuchana naamini kama mtu atajua vyema jinsi ya kubeti anaweza kuwa bilionea kama bakhresa....
Maoni yenu wakuu.