Natafuta mtaalam wa sofa kama hii


Benzoic

Benzoic

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Messages
425
Likes
59
Points
45
Benzoic

Benzoic

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2012
425 59 45
Wadau nisaidieni wapi nitapata mtaalamu wa kutengeneza sofa bila kuchakachua material kama sponge na kadhalika. Kama ulishawahi tengenezewa ukakubali kiwango please recommend na nitajie na cost pia.
 
Dengue

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
1,798
Likes
600
Points
280
Dengue

Dengue

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
1,798 600 280
Ukimpata nijulishe na mimi ninamuhitaji.
 
Osaba

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
1,795
Likes
206
Points
160
Age
36
Osaba

Osaba

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
1,795 206 160
Wadau nisaidieni wapi nitapata mtaalamu wa kutengeneza sofa bila kuchakachua material kama sponge na kadhalika. Kama ulishawahi tengenezewa ukakubali kiwango please recommend na nitajie na cost pia. View attachment 126803
Yanauzwa mbezi tank bovu bondeni laki sita tu
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
12,823
Likes
4,382
Points
280
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
12,823 4,382 280
Kuna rafiki yangu anatengeza ukitaka niambie nikupe namba yake,anapiga hizo ishu kwa akina bakheresa yaan mzoefu,unipm
 
Soso J

Soso J

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
1,997
Likes
1,016
Points
280
Soso J

Soso J

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
1,997 1,016 280
Mtafute huyo jamaa Anaitwa Sadi yuko a external ubungo sio tapeli na ni muaminifu 0717150055
 

Forum statistics

Threads 1,252,199
Members 482,034
Posts 29,800,062