Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 318
- 513
nipatie email ysko na namba ulizowekahabar ndugu zangu
natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili.
kibaya zaidi namba ya pili haipo hewani ilipotea kitambo.
yupo anayeweza hili ani pm
shukrani.
nmekutumia bronipatie email ysko na namba ulizoweka
usinibeze mkuu kusoma sana si kwamba utajua kila kitu,ungenisaidia maelekezo ungepata thawabu nying kwa Mungu wako kuliko kunibeza.karibuHata darasa la Saba Kama Mimi hapa naliweza, ukute hapo una degree🤪🤪🤪
sijaonanmekutumia bro
Amesahau password ya g-mail account na anahitaji kuitumia tena...Hata darasa la Saba Kama Mimi hapa naliweza, ukute hapo una degree
FactAmesahau password ya g-mail account na anahitaji kuitumia tena...
1. Hana namba ya simu aliyo tumia kusajili hiyo account na nilazima security code itumwe kupitia namba hiyo ambayo haipo hewani.
2. Hakuweka recovery account ambayo ingetumika kupokea security code ili aweze ku reset password.
Msaidie kutokea hapo na sio kumbeza, utaalamu unamwisho.
Akishindwa kukusaidia huyu, utanicheki ,lakini mahitaji ,email yako na namba zote mbili za Simu ulizowahi kusajilia hiyo emailnmekutumia bro
Ulifanikiwa au bado? Mana nilikuomba unitumie email na namba lakini hukufanya hivyohabar ndugu zangu
natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili.
kibaya zaidi namba ya pili haipo hewani ilipotea kitambo.
yupo anayeweza hili ani pm
shukrani.
Nipo apa mheshimiwa namba zangu yangu ya simu 0628846579habar ndugu zangu