kadefeghe
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 457
- 672
Habari wanajukwaa natafuta kijana ambaye atakua msimamizi wa biashara ili tushirikiane katika kujenga kampuni yangu ambayo kimsingi bado ni changa.
Mimi ni mwanaume na nafanya kazi ya kampuni nyingine mbali kidogo na mjini na kama kijana najaribu kuwa mjasiriamali nje ya mfumo wa ajira.
Location mbeya mjini preference aliyesomea marketing au mjanja mjanja anayejua namna ya kutafuta pesa jinsia awe mwanamume kama yeyote aneweza kuwa ready tuwasiliane ili tuone kitu cha kufanya kwa contact iz gulliesexpeditions@gmail.com