Natafuta msichana wa kuuza dula la dawa mwenye cheti cha Addo

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,590
1,614
Wadau natafuta dada wa kufanya kazi ya kutoa dawa kwenye duka langu la dawa muhimu. Duka Liko pembeni mwa jiji la Dar. Kama kuna mtu anatafuta kazi hiyo anitafute kwa kuni Pm
 
Back
Top Bottom