Natafuta Msichana wa kuoa

Wasichana wote tunawasomesha...labda ujaribu wamama au wajane.......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Huyo mke utamfanya nini kama kuandika tuu ni tatizo???
 
Mnh hayo majibu,kama una roho nyepesi lazima uudedi....uzuri wake kuna PM wenye uhitaji kama wako watajisogeza tu huko.......lol
 
Nime2kanwa mpaka bc

Pole huku kuna watu wa kila aina....chukua muda...wasome watu michango yao....yupo atakayekuvutia...then mtumie message....akikataa tafuta mwingine....life goes on lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…