Natafuta msichana wa kuoa

Samahani wanajamii wenzangu kama sikueleweka. Niliposema kasoro, sina maana kuwa sitaki msichana kutoka MBY bali nilimaanisha umri wangu ni miaka 26 kasoro.
 
Kijana humu JF mi naona utaishia kuchorwa tu maana umesema we form six na nikiangalia quality ya post za kinamama wengi humu ni wazi wengi wao kisomo kimepanda na wanaonyesha wengi wao ni graduates,watakukubali kweli na madigrii yao? Kama wewe ni muumini mzuri nakushauri kaangaliangalie kwenye kwaya,hawa wa JF taifa kubwa achana nao.
 
Jamani mbona wengine tupo form 5?Alafu mapenzi sio elimu...usishangae akaopoa profesa!
 
Mie vigezo vote nnavyo. Ni PM.WE KABILA GANI? ila kama wewe ni mnyakiusa sikutaki
 

mkuu mwenendo wa thread unaonyesha u-mvivu kuto-n-g-oza la sijui yale mambo ya hexa by hexa itakuwaje? Labda utembelee kwenye mikutano ya injili wako 'wapendwa' watakaokufaa.hapa Jf sahau.
 
Du master detectie hatimaye umeshampata mwa Jf mwanadada Jena mshindwane tena vigezo vinaoana bado nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…