Natafuta msichana wa kuoa...

Natafuta msichana wa kuoa...

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Mimi ni kijana wa miaka 34 natafuta msichana wa kuoa niko Kigoma sifa awe na nidhamu na mcha Mungu na awe maji ya kunde au mweupe awe na nyama nyama na siyo kimbau mbau..... Aje in box.....
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sasa mkuu kimbau mbau Si unaweza kumenepesha
 
  • Thanks
Reactions: waj
Wa kuoa wameadimika siku hizi,unatafuta anaeweza kurekebishika,unamvumilia,unafunga pingu za maisha,nasikia wanajirekebishia ndoani hukohuko
 
Mimi ni kijana wa miaka 34 natafuta msichana wa kuoa niko Kigoma sifa awe na nidhamu na mcha Mungu na awe maji ya kunde au mweupe awe na nyama nyama na siyo kimbau mbau..... Aje in box.....
Pesa ipo mume wangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom