Natafuta msichana wa kuoa...

Natafuta msichana wa kuoa...

Mimi ni kijana wa miaka 34 natafuta msichana wa kuoa niko Kigoma sifa awe na nidhamu na mcha Mungu na awe maji ya kunde au mweupe awe na nyama nyama na siyo kimbau mbau..... Aje in box.....
Miaka 34 una watoto wangapi?
 
Hakuna aliejipanga kuishi na wewe vingine utamuelewesha mbele kwa mbele
Kikubwa usioe kunguru
 
Ila elewa pia sio wanawake wote wanaojua kupenda wengine yapo tu kama kondoo
 
Utafit unahitajika ili kuweza kubaini ni kwann cku izi kuna wimbi kubwa la watu kutafta wachumba mitandaoni......

Ivi kweli uko mtaani hujawaona hujaona mtu anaekufaa.....

Ulipo kua unasoma hukuona chaguo lako?

Kwenye kituo cha kazi hujaona anaefaa kuwa mwandani wk?

Au ni kushindwa kutongoza uso kwa uso??
 
yani hata mtaani au ulipo ujawaona mpaka uje hapa
 
Utafit unahitajika ili kuweza kubaini ni kwann cku izi kuna wimbi kubwa la watu kutafta wachumba mitandaoni......

Ivi kweli uko mtaani hujawaona hujaona mtu anaekufaa.....

Ulipo kua unasoma hukuona chaguo lako?

Kwenye kituo cha kazi hujaona anaefaa kuwa mwandani wk?

Au ni kushindwa kutongoza uso kwa uso??
Mimi sijawaona kwa kweli hata kanisani sijawaona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom