sijawai kupanda chopa hataAnachopa huyo..halafu wee chagua chagua tu
Acha uoga wewe kifo kipo tu zipo ajali nk tena huyo ndo anatulia kweli kweli au katafute kahaba umtulize mkuu kuliko hao unaowawazia PASUA KICHWA TENA JF duuuhWeweeeee ukimwi ni Nouma achana na maneno ya ushauri nasaha ukimwi =Kifo
unandika tu hapa ukishanivua utakuwa unanipakia kwenye treni hukoAir Tz ipo
nasikia waha wazuri kweli ? yaani kweli mtu ukose mke kigoma ?Huko Kigoma hawapo? Hauna majirani?
Mbigo atakupandishaasijawai kupanda chopa hata
koakosa mke kigoma kweli huyu au anataka mchepuko?Mbigo atakupandishaa
Bro mbona huyu wako..tia maneno yenye ladha tu siunajua mwanamke na maneno matamu.Ha ha ha ha Gabo unanisaidia mistari powa bana
Nabii hakubaliki nyumbani....koakosa mke kigoma kweli huyu au anataka mchepuko?
mkuu treni inachosha angekuwa karibu ningejisevia tu huyu saizi yangu etiNabii hakubaliki nyumbani....