Natafuta Msichana wa kazi!!!

Natafuta Msichana wa kazi!!!

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
66
Salam kwenu wakuu!

Nahitaji dada wa kazi kwa ajili ya kazi za nyumbani mwenye contact zozote mahali naweza kupata mfanyakazi please anisaidie...naishi makongo juu ccm.

Natangulisha shukrani.
regards,
Tete'a'tete.
 
kutoka mikoa gani sana sana?
aliemaliza std 7, form four au six?
Umri?
Lazima awe dada?
 
Back
Top Bottom