queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 75
Nipo tayari nipe maelekezo jinsi yakufika hapo npo serious
Mimi nataka nikuletee je na mm utanilipa sh ngapiKama HG Uko JF huoni utamshinda hata mama mwenye nyumba?
Mimi nataka nikuletee je na mm utanilipa sh ngapi
Mi npo tayari mwenyewe ila ni me..
Hata mimi nahitaji na mshahara ni kuanzia 100,000/- na unaweza kufikia laki unusu kwa juhudi ya mdada; hebu nipatie huo mchongo mkuuNitext kwenye 0629298812, kuna mdadaa yupo kinondoni hana ishu ya kufanya nikuunganishe nae m-discuss profitability ya kazi yako.
CcElfu 40 au ni Laki 4 Hizo tarakim nimezisoma vibaya?? Hiyo hela kwann usiende kununua gazeti ukajipepea