natafuta msichana umri kati ya 18-25

Status
Not open for further replies.
We ni domo zege,yaani wasichana kila siku unapishana nao huwaoni.Umefanya makosa sana kuzitaja hadharani sifa za dem unayemtaka,ni vigumu mno kumpata demu mwenye sifa zote unazozitaka,utafanikiwa kumpata mwenye sifa chache tu,sifa nyingine unapotezea.Jitahidi kuwatongoza unaowafahamu au utakao kutana nao,acha uoga.
 
kwa kila couple unayoiona lazima kuna meeting point! na hii thread its about girlz only jamani, na sioni ubaya wa kufanya hivi sema ni culture ambayo haikuzoeleka katika maisha ya kiafrica, laikini naomba niulize hasa wewe mr Rock uliyejibu karibu mara tano!

how many couple meet in a very decent place like school, church but are no more there!
good woman/man does not depend on where u meet but it is within the person himself/herself

take a good example of your wife/husband, girlfried.boyfriend do u potray a true and open love to each other,? do u share stories? are u free to use ur lover's mobile DESPITE OF YOUR NICE AND DECENT PLACE YOU MEET???

Good lover comes from god,true but do u think u can sit down and wait god to give u a good lover without seraching???

truely i need a wife!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom