Natafuta msichana mwenye VVU

bank statement

Nenda katika kiliniki zao utawapata pengine hawaingii humu japo wazo lako ni zuri
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu,

Nahitaji msichana mwenye VVU umri miaka 25-30 ili awe mke wangu, mimi pia nina VVU, nipo serious jamani.
Kwa msichana aliye serious anitafute kwa namba 0756425942

Duh! dunia imebadilika, sijawahi ona wala kusikia,
 
Habari zenu,

Nahitaji msichana mwenye VVU umri miaka 25-30 ili awe mke wangu, mimi pia nina VVU, nipo serious jamani.
Kwa msichana aliye serious anitafute kwa namba 0756425942

Nenda hospitali mnazi mmoja, kitengo cha waathirika wanapopewa dawa ulizia mama brian then umweleze haja yako pamoja na hali yako. utampata mke mzuri tu mwenye vvu.
this is not a joke
 
Umempa neno jema
 
Kama sio utani hili ni jibu zuri sana
Ninafahamu ndoa kama 4 ambazo ziko vizuri sana na walikutanishwa na wahudumu wa CTC couple 1 ina watoto 3 sasa hivi wako.
Hata kama hii ya mnazi mmoja haikuzaa matunda tafuta mhudumu wa CTC akuunganishe na mtu mzuri mwenye kujitambua mwenye kuwaza mbele na anaefuata masharti ya wataalamu
 
Aiseee.
 
Sio utani mkuu Haika nimemaanisha yeye akifika pale akampata huyo mama atamsaidia sana
atampata mke mzuri wasomi wengi wanajielewa, ashindwe yeye tu kwenda hapo hospitali
Hajui ataanzaje aje pm.
 
Last edited by a moderator:

Nadhani waliotoa ushauri huu wako sekta ya afya.
 
Kuna Bandiko La Dada Mmoja Humu Anaitwa Cutie M, Kama Bado Hujapata Mkuu bank statement Mtafute, Anaweza Faa Kabisa. Fuatilia Kuna Post Kama Hii Yako Humu Jukwaani!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…