MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,556
nawasubir mkuuHaya handsome wanakuja kaka.
Kwani handsome ndio mdudu gani
Huyo mwana mke atakula u-handsome?mwanaume who is attractive to a women
uhandsome mwisho 4m six kwingine kote ni pesa tu lasivo watoto wazur wote itaishia kuaita shemeji.🙁🙁🙁😀😀😀
Nenda kahumba au Itigi utawakuta hao unaowataka
yap kipato changu cha kawaidaUna hela?
pesa mbele sura tutavumiliana ..... sura nzuri njaa kali