subsaharan Member Joined Sep 11, 2013 Posts 13 Reaction score 5 Oct 8, 2013 #1 mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994
mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994
kalou JF-Expert Member Joined Aug 22, 2009 Posts 4,992 Reaction score 3,879 Oct 8, 2013 #2 chuo mwaka wa pili... kiswahili sahihi ni "umri" sio " umli"....... miaka 22 bado unajiita mvulana.?
M Misa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2013 Posts 838 Reaction score 135 Oct 8, 2013 #3 Chuoni huwaoni?
Aadilu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 645 Reaction score 464 Oct 8, 2013 #4 Ukiombwa hela ya matumizi utatoa nini au mkopo? Hebu soma kwanza
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Oct 8, 2013 #5 kalou said: chuo mwaka wa pili... kiswahili sahihi ni "umri" sio " umli"....... miaka 22 bado unajiita mvulana.? Click to expand... Hhahaha mie sijui kiswahili ila huyu amezidi lol
kalou said: chuo mwaka wa pili... kiswahili sahihi ni "umri" sio " umli"....... miaka 22 bado unajiita mvulana.? Click to expand... Hhahaha mie sijui kiswahili ila huyu amezidi lol
M madameA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 435 Reaction score 176 Oct 8, 2013 #6 subsaharan said: mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994 Click to expand... Dogo piga shule kwanza, sioni sababu ya kuja kutafuta mchumba humu, your too young mpaka nakuonea huruma.
subsaharan said: mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994 Click to expand... Dogo piga shule kwanza, sioni sababu ya kuja kutafuta mchumba humu, your too young mpaka nakuonea huruma.
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,933 Reaction score 34,912 Oct 8, 2013 #7 Uko chuo?Mwaka wa 2?Miaka 22?Unasomea nini?Kiswahili chenyewe hiki?Uelewa wako bado mdogo sana Try To Be Patient...!!
Uko chuo?Mwaka wa 2?Miaka 22?Unasomea nini?Kiswahili chenyewe hiki?Uelewa wako bado mdogo sana Try To Be Patient...!!
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,562 Oct 8, 2013 #8 subsaharan said: mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994 Click to expand... Madhara ya vyuo kuchelewa kufunguliwa yameanza kuonekana. Kama chuo huwaoni huku utapata????? Hamna msichana aliye tayari kuwa na mchumba mvulana hivyo piga buku hadi uwe mwanamme.
subsaharan said: mm ni mvulana mwenye umli wa miaka 22 ,mrefu kidogo ,umbo la wastan,mweusi,mkristo,mtanzania,nipo chuo kikuu mwaka wa pili namba ya simu 0653357994 Click to expand... Madhara ya vyuo kuchelewa kufunguliwa yameanza kuonekana. Kama chuo huwaoni huku utapata????? Hamna msichana aliye tayari kuwa na mchumba mvulana hivyo piga buku hadi uwe mwanamme.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Oct 8, 2013 #9 Duh... Kumbe bado mvulana! :doh: :doh:
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Oct 13, 2013 #10 madameA said: Dogo piga shule kwanza, sioni sababu ya kuja kutafuta mchumba humu, your too young mpaka nakuonea huruma. Click to expand... Hahahahahaha. Hapo red hapo,kwani hawezi kuingiza?
madameA said: Dogo piga shule kwanza, sioni sababu ya kuja kutafuta mchumba humu, your too young mpaka nakuonea huruma. Click to expand... Hahahahahaha. Hapo red hapo,kwani hawezi kuingiza?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Oct 13, 2013 #11 Kutafuta mchumba humu kwenye mtandao umepoteza mwelekeo kajipange upya