Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,649
- 6,832
Habari JamiiForum,
Ninalo wazo la muda mrefu kuhusu biashara ya kuuza bidhaa kwenye minada au maeneo yaliyochangamka.
Sina mtaji kwa sasa ila nina gari dogo succed kwa ajili ya kubeba bidhaa za kuuza minadani kama nguo, vyombo nk.
Binafsi nina nyumba mbili za kawaida ila nimejaribu kuuza moja nipate huo mtaji, hawafiki bei.
Sasa basi naomba kwa mwenye mtaji au anayeweza kunidhamini tuchekiane PM ili tuweze kuweka sawa jambo hili.
Binafsi ninajiamini na ninaelewa sana kuhusu swala la uaminifu na uadilifu zaidi tutaingia makubaliano hata ya kisheria kuhusa share yetu mradi kazi ifanyike, pia kama kuna sehemu au kiwanda au mtu anayeweza nidhamini naomba msisite kunielekeza ili niweze kuanza hii project mara moja.
Pia kama kuna wazo lingine la kuniwezesha kufanya kazi kwa kutumia hii gari yangu, naombeni mawazo wakuu.
Asanteni